S.M.K
Fave
2:30Ayeyeeehh...a..a..Ayeyeehh... Cha kwanza ni mtulivu, shepu na sura weee umejaliwa kweli maa Mwenzako mi naona wivu, usije niacha weee, utanitesa kweli maa Mapenzi yako chachandu, nipe mambo sasambuu nilewee Na we ndo wangu tabibu, na sioni sababu ya kukwacha wee Aahh Kwako nimedata( niuee ) umenikamata( niuee ) nichape fimbo unavyoweza changu kiboko Hakuna matata( niuee ) mambo ni swadakta, we jidekeze unavyoweza mimi ni wako, ma baby... ( Milele ) nitabaki nawewee ( Milele ) sitokwacha mwenyewee ( Milele ) shibe yangu ni wewee ( Milele ) nitabaki na wewee Usije kuniacha mi utaniumiza, si unajua, nakupenda wee Safari ya mapenzi nimeimalizaa, kwako wee Kwenye shida na njaa tuvumilianee Mvua na jua, tushikamanee, Mengi ya dunia, uyapuuzee Nikilia pia nibembelezee Aahh Kwako nimedata( niuee ) umenikamata( niuee ) nichape fimbo unavyoweza changu kiboko Hakuna matata( niuee ) mambo ni swadakta we jidekeze unavyoweza mimi ni wako, ma baby... ( Milele ) nitabaki nawewee ( Milele ) sitokwacha mwenyeweee ( Milele ) shibe yangu ni wewee ( Milelee ) nitabaki naweweee