Historia
Peter Blessing
3:36Natamani kusimulia hadithi hii ni ukweliaana sio kiki nizamaniblilitamani mziki ona Nina vibe lashuka kwa wingi Nliokoka lazima wasome,nashikilia yesu ngome Injilii hiapa isonge watasikia watu wote Kama uko kwa shamba unalima mboga jamaa zangu nawapenda sana bodaboda tusichoke sambaza pande zote kona atatupa baraka yote anaona Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Kwaneno ulisema nikulilie nami ninabisha nifungulie Simengi nitasema nikubalie,matendo yako mema nikusifie Umenitoa far sana sio nguvu za wanganga injili Iko far sana zingine zote zinafwataa Kama uko kwa shamba unalima mboga jamaa zangu nawapenda sana bodaboda tusichoke sambaza pande zote kona atatupa baraka yote anaona Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende ifike kote sawa, baraka ni zetu sote sawa Wapende ama walenge sawa sawa sawa sawa, Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende Iende iende,wacha iende iende