Historia
Peter Blessing
3:36Nilitoka home nilitoka ghetto, Sasa niko town sasa nimayolo Ocha si ku fine huko nikumoto Lazima ni fight mambo iwze flow Huko kwetu karaa mwanga wa kibali tena ya baridi kuogea Yani ni karaa ukinywa staftahi mpaka jua likitokomea Napiga goti tazame juu Namwomba God anipe tuu Naa sichoki napambana tuu Yangu maombi yafike juu Lazima nipambane pa pa Lazima nipambane pa pa Lazima nipambane pa pa Lazima nipambane pa pa Aaaa oya wanangu nina mke lazima ganji ndio asinitoke Asaaaale! Wacha nihangaike pia nyumbani ni mtoto wa kiume Woyaaa ye! Napiga madili kusini kaskazini ila niko makini mjiini Nikipata riziki namaliza mikiki kidogo najichanga na mimii Napiga goti tazame juu Namwomba God anipe tuu Naa sichoki napambana tuu Yangu maombi yafike juu Lazima nipambane pa pa Lazima nipambane pa pa Lazima nipambane pa pa Lazima nipambane pa pa