Dhahabu (Feat. Damian Soul)
Rapcha
3:55Badman don't kiss ass I'm after my business I thank God for this grace I'm So hard to replace Very hard to detect I'm Too hot like desert Too cold like dessert Man You don't know me like that Wanaomba location watukute where we at But, Tuko mbele yao, wanaongea si tuna act Fact Kituo kifuatacho global, mi maongezi sitaki ‘uck! Kila nkiona tu camera i wanna spit like Pac Mi siwekagi wazo nna start Double hustle utaona Impact Ka ukinikuta ndani ya stadium nanukisha utahisi ni fati (cnsu) Roho safi chafu ni shati Hunijui kiivyo, Infact Chawa hapa hawezi survive namvunjia kidole cha kati Ustake pima you can't Mbwiga, you don't know me like that Mi siroll na washkaji ambao mbele ya nyau ni rat Njia nliopita ups and downs nmeona nyingi toka nna start But, way i run the game unaeza sema road ni flat Fact, just look at where we at Mtanisifu sana kwa bars nyinyi mi nikiwa Hayati Walificha ngazi tubaki chini tukabeba manati, ah Circle ilivyo ni ka virgin vile ambavyo ni tight Mi sipo hata complicated, you don't know me like that Taking flights, naenda Zenji I don't take advice Don't complain kuwa nimechange you don't know me like that I Focus on my business My business my life Mwanzo wa wiki mpaka weekend Ndani ya vichwa vyenu ndipo ambapo muda wote naspend Bila senti na tarehe zinapinduka siwapi hata rent Ka' mkinitoa ndani ya vichwa vyenu vinabaki tu empty Empty Empty ka kibubu chako cha rent Hela ya pochi unampa ya nini wakati kichwa chake ni empty Wanataka kwenda kwa Jah ila hawatofika na hate Sema hatuko close like that, maybe ningeshawapa tiketi Wallah Mi napenda vitu viwe perfect Ila sitaki demu ambae anataka niwe perfect cnanisoma kila day, anataka niwe gazeti? cnataka niwe Puppet asiejua nini respect Usinifundishe how to care, I'm just doing what i like I Just do it i don't care,mi naongeza pair za nike Hunijui very well, wala sina look alike I know how to treat a girl, you're just not the one I like Excellent work and again the beat is dope Yogo Mi nna ushkaji na peni baada ya shule ikanipa hit (hit) Mi nna ushkaji na peni you can tell by the way i spit (spit) Mi nna ushkaji na peni and i take that shit too deep (deep) Mi nna ushkaji na pen writting pays talk is cheap Tulikua chini wakakimbia, sa si ndo ule muda wa kuongea fact Ile wametoka dow ikaingia, sa si ndo ule muda wa kuwalia bati Siku itaisha nikisinzia sa si ndo ule muda wa kuingia pati cfu watoto wanajiachia, sa si ndo ule muda wa kuingia kati Bring more 50, 50, 50, 50 bottles for my friends More more pretty pretty pretty pretty ladies with their friends Mi i dont give a S-H-I naacha wambea wapate Tea Only Jah Judging me There is something about me I don't give a S-H-I-T when I'm on T.H.C 8 billion people dunia hii please don't play with me Nimeishinda vita chuki come and celebrate with me Don't play with me They didn't believe in me Vile navoshine i knock their heads like Knock their heads like Vile nnavyoshine nawakoa kwenye bed like uhh!