Dhahabu (Feat. Damian Soul)
Rapcha
3:55Sometimes, sijui ni nini kinachoendelea inside my head Naamka ingawa nimechoka najua solution siwezi kuipata kwa bed Nakua na hasira kinoma sometimes, inahitaji hekima kuidhibiti Nikishampiga kiss Mary Jane, day ndio inaanza kuwa lit Sometimes, nahitaji kuspend muda wa kutosha na family Shida inakuja kuwa huo ndio muda natafuta ugali wa family Natia mashaka ninaowaamini sometimes, najua maumivu ya usaliti Na Ninaamini watu nisiowajua sometimes ingawa naweka limits Moyo ni tough ka mike tyson ila sometimes unaweza anguka Nakua mpole ka Michael Jackson ila sometime nakua Tupac Kuna mipaka haiwezi vukwa maana respect haiwezi shuka Vita ya maneno haiwezi zuka maana ofcoz hiyo stage tumeshavuka Sometimes natamani ku fake death ili nikaanze maisha somewhere Ila nitaacha maumivu nyumbani yatakayonitesa ninakoelekea Inabidi nifanye maamuzi magumu sometimes kuupa moyo wepesi Na Sometimes, Ukimya unakuaga very loud na ni bonge la defence Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii Naomba sana Mungu aniongoze afuatane na mi Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii Mbali na mi Ipite mbali na mi Natamani nilie sometimes ila kama kidume ntajiona nimeanza kuwa soft Na kufunguka yanayonisibu nahofia mbeleni itakuja nicost Naamini Mungu ananilinda na mengi ndo maana sometimes sihitaji kuforce Ili anipe akili ya kutunza faida ninaonja kwanza loss Nawaumiza ninaowapenda sometimes, najikuta sina jinsi Na nazingua makusudi sometimes lawama nazitupa kwa Ibilisi Naacha ninaowapenda waende sometimes Inakuaga crazy sometimes Nawapiga chini hadi ndugu Nimeanza kuwa sugu wa maumivu Nashindwa kuwa bubu sometimes Nna agh! Ninakua na idea za kufanya mambo makubwa sometimes Lakini cdui namba moja anaetukwamisha ni uoga tu most of the time Kilio kinaweza kuibuka tu ndani ya dakika unayocheka sometimes Na msaada mkubwa unaopokea, ndo anguko lako sometimes Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii Naomba sana Mungu aniongoze afuatane na mi Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii Mbali na mi Ipite mbali na mi Uuuh Mbali na mi Ipite mbali na mi Uuuh Mbali na mi Ipite mbali na mi