Pokea
Rozinah Mwakideu
3:34Oh help God Eeeeh eeh eeh Nitalipata wapi? Munighorie eh Pendo halisi na thabiti? Munighorie eh Tangu wangu utotoni Nikaingia matopeni Nikateleza nikaanguka nikajikwaa nikitafuta aah Naomba munielewe eeh eeh Anavyonipenda yeye eeh eeh Hatoweza mwinginewe eeh eeh Nafsi yangu anitunzia aah aah Yeye anishughulikia aah aah Mikonunyi waniwuadia aah aah Kamwe hataniwachilia Ooh ooh Hakuniita kwa sauti tu Moyo wake kanifungulia Kasema mwanangu njoo tu Gharama yako nimelipia Hakuniponya jeraha tu Yesu makovu kaondoa pia Kanikelisha na wakuu juu Meza ameniandalia aah Naomba munielewe eeh eeh Anavyonipenda yeye eeh eeh Hatoweza mwinginewe eeh eeh Nafsi yangu anitunzia aah aah Yeye anishughulikia aah aah Mikonunyi waniwuadia aah aah Kamwe hataniwachilia Aah aah Ooh ooh Eeeeh eeeh Nipisheni miguuni nimwangukie eh Niondokeeni ili mimi nimsujudie Kama mabusu yani mimi nimpatie Manukato nayo pia nimwagiee Nipisheni miguuni nimwangukie eh Niondokeeni ili mimi nimsujudie Kama mabusu mabusu nimpatie eh eh eh Nafsi yangu anitunzia aah aah Yeye anishughulikia aah aah Mikonunyi waniwuadia aah aah Kamwe hataniwachilia aah aah Niwaeleze vipi munielewe eeh Lukundo lwa Jesu Muelewe muelewe muelewe eh eh Lukundo lwa Jesu Kajitoa uhai wake mwenyewe eeh Lukundo lwa Jesu Oh mimi na yeye Yeye na mimi milele Lukundo lwa Jesu Oh mimi na yeye Yeye na mimi milele eeh eeh ieeh Lukundo lwa Jesu Oooh ooh ooh oh Lukundo lwa Jesu Oh upendo wake wa ajabu uuh Lukundo lwa Jesu Oh upendo wake washangaza aah Lukundo lwa Jesu Eeh eeh