Nielewe
Rozinah Mwakideu
4:03Oooh abaa Nakuneka nguma Wusa oho Ooh ooh Mmh Umenipa sauti nikuimbie wewe Uhai nikuishie wewe Nikisujudu Na kuabudu Ni kwako wewe Wewe pekee eeh Pokea aah Pokea aah Pokea aah aah aah Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako Shukrani za moyo wangu Ni kwako Mchana na usiku Pokea ah ah aaah Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako ooh Shukrani za moyo wangu Ni kwako ooh Mchana na usiku Pokea ah aaah Eeh eeh Ningekuwa wapi kama sio wewe? Ningeenda wapi kama sio wewe? Eh sio nguvu zangu Wala uwezo wangu Sio ujuzi wangu Wala chochote changu Bali kwa neema yako ndivyo nilivyo Kwa neema yako nakushukuru uuh Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako Shukrani za moyo wangu Ni kwako oh Mchana na usiku Pokea ah ah aaah Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako ooh Shukrani za moyo wangu Ni kwako ooh Mchana na usiku Pokea aah aah Sifa na utukufu Shukrani za moyo wangu Pokea aaah Umeniangazia njia zangu Njia zangu uh Umenipa kibali maishani mwangu uuh Chawucha bwana chawucha bwana aah Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako Shukrani za moyo wangu Ni kwako Mchana na usiku Pokea ah ah aaah Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako ooh Shukrani za moyo wangu Ni kwako ooh Mchana na usiku Pokea aah aah Ni kwako ooh Sifa na utukufu Ni kwako Shukrani za moyo wangu Ni kwako Mchana na usiku Pokea ah ah aaah Ni kwako ooh Shukrani za moyo wangu ooh Ni kwako ooh Mchana na usiku Pokea aah aah Baba aah Pokea aah