Wainame
Sailors 254
3:50Wamlambez wamnyonyez Wamlambez wamnyonyez Wamlambez wamnyonyez Wamlole… eeeehh Miracle baby me huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka ni dem me hupin na mayeng (Mh ha na mayeng) Aki home nashikisha na mayeng (Mh ha na mayeng) Zikishika ninadrive na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mh ha boroyeng) Anajua me huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Wamlambez wamnyonyez Wamlambez wamnyonyez Wamlolee… eh Hii ni ya madem wenye wanapenda chuma Maboy fiti wanapendaga kulima Dem akipita ‘mh hm’ wanaguruma Akijipa wanapiga bila huruma Miracle baby zimenice nachachisha Nashika jaba juu doh zimejaa bahasha Tuko na Ruth siz ya Caro na Natasha Zikirunda wanaanza kutetemesha Wamlambez (wamnyonyez) Wamlambez (wamnyonyez) Wamlolee…eh Shalkido anaspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka ni dem anaspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mh ha na mayeng) Zikishika anadrive na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mh ha na boroyeng) Anajua ye huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Usiworry nimefintika Kulikuwa na kajam fulani but tumekapita Pewa tot ziku-nice twende dancing floor Na juu kaduka umefunga nipe thutha yoh Kising’aing’a toka chini hiki kyangu kimesee Nipe sita mbili mbili wamnyonyez nikupee Ukibleki naanza kukuguza unafurahi Nakudema dema nikushike ufeel ukiwa high Shalkido kwenye mic nazitema kwenye floor Ikiwabamba mnipe nduru niwashow nikiflow Niwashow nikiflow Niwashow nikiflow Wamlambez (wamnyonyez) Wamlambez (wamnyonyez) Wamlolee…eh Masilver ye huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka ni dem anaspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mh ha na mayeng) Zikishika anadrive na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mh ha boroyeng) Anajua ye huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Diang’ara, diang’ara, diang’ara Si ni wale wadiang’ara (Ate?) Diang’ara, diang’ara,diang’ara Si ni wale wadiang’ara Your gang shaghala baghala Ukipeep nakutoa kafara Masilver me huhit wamlambez Masilver me huhit wamnyonyez Ukianika naanua wamlambe Ukianika naanua wamnyonye Masilver! Ukianika naanua wamnyonye Wamlambez (wamnyonyez) Wamlambez (wamnyonyez) Wamlolee…eh Lexxy Yung ye huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Ka ni dem anaspin na mayeng (mh ha na mayeng) Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mh ha na mayeng) Zikishika anadrive na mayeng (mh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mh ha na boroyeng) Anajua ye huspin na mayeng (Mh ha na mayeng) Okey, you know me Am this kid on a bigger vision On a bigger mission Chapa gym, kata weight Pewa liquour no more wait Cheers to the faith Am too hot nikimfake Wamelamba lolo, nikawasha kolo Nikatema lolo, wakabaki solo Nimepiga kuni, ikapiga nduru Ninakemba Henny, wanakemba ndoro Macho ziko rada, nigga ni wasoro Nimecheki rada, wote ni mavako Ah siko vako, tumetetemesha wote wakatema Twanga twanga hadi ikalia, hadi ikatema Buda amezima ndani ya kisima I can hit so right You can call me Mr ride Down and up I can pick it up Baby drop, pick them off Wanna see you on your birth suit You know you’re sweet Like the way your mama cook Keep your hands to yourself Never dare touch my siz nigga I can pop you off Nigga I can pop you off