Wamlambez
Sailors 254
4:42Uuuu...uuuu Yeah, yeah man Sailors Gang Hii si ya uzembe na lazima iwaweze Ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze Shika zigo kwa mabra na ukaze aah Ili mwenye hana hmmm Ili mwenye hana hmmm Ili mwenye hana abaki zile za Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Legeza chii Legeza mama Legeza kiuno ni pekejeng (Pekejeng) Legeza chii Legeza mama Legeza steki ni pekejeng (Pekejeng) Legeza hii Legeza mama Legeza zigo ni pekejeng (Pekejeng) Legeza hii Legeza mama Legeza diaba ni pekejeng (Pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Aaaah..... Pekejeng Wanabebwa na Uber kando ma scooter Ile vako ya makaa ju me ndio gas cooker Kauka spell, ukiitisha napaka mafuta Kakijipa nikachapanishe na ukuta Nikachape hadi kachachishe kawe mbuta Ulegeze zigo nibanju, mandom me huvuta Kuingia kwangu itabidi umeipumuta Makejani weekendi lazima utoe form Na mambleina wakilandi sisi tuwabomb bomb (Tuwa bomb-bomb) Hii si ya uzembe na lazima iwaweze Ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze Shika zigo kwa mabra na ukaze aah Ili mwenye hana hmmm Ili mwenye hana hmmm Ili mwenye hana abaki zile za Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Legeza chii Legeza mama Legeza kiuno ni pekejeng (Pekejeng) Legeza chii Legeza mama Legeza steki ni pekejeng (Pekejeng) Legeza hii Legeza mama Legeza zigo ni pekejeng (Pekejeng) Legeza hii Legeza mama Legeza diaba ni pekejeng (Pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Aaaah..... Pekejeng Form yeah, Sailors on the beat 1, 2 leta zogo nikuwekee ka beef Tuliturn up Bon’Eye mono eye ikapaste Sasa tumerudi tumekam na the beast Hitmakers lunatics now on the mic Sailors DNA we gonna make it, wanna lit Dancing to the beat, Do you skipping on the feet? Whinning like a fake, Do you twerking on the feet? Nimepata Kwamboka, hunny she a threat Like the way you legeza, is it tilla wet? Like chapati geuka wanna make you sweat Wanna make you leg-over when I pull it out Sasa tumechachisha sema pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Hii si ya uzembe na lazima iwaweze Ka beat kako plain na hakajaongezewa zeze Shika zigo kwa mabra na ukaze aah Ili mwenye hana hmmm Ili mwenye hana hmmm Ili mwenye hana abaki zile za Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Legeza chii Legeza mama Legeza kiuno ni pekejeng (Pekejeng) Legeza chii Legeza mama Legeza steki ni pekejeng (Pekejeng) Legeza hii Legeza mama Legeza zigo ni pekejeng (Pekejeng) Legeza hii Legeza mama Legeza diaba ni pekejeng (Pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Aaaah..... Pekejeng Hii nayo kali ni kama imeongezewa makali Imepigwa tiki hadi na kina Jua Cali Twapiga wera hata kama jua ni kali Ili after janta ni kubaki na ma mali Nashika jaba inanifanya ni sign form Nadungia Alexi ananishow ako na mandom Qoqo Juma naye analia ana madem Kina Njoki, Mwende na kina Shamim Tukimeet nakuwanga serious party na Cheki yule dem vile anahioria matina Ananichanganya hadi nasahau majina Madiaba huku mingi nakwambia usicheze bruh Order, order kila mtu na wake Na ikiwezekana mpee, ama umpee mate Shika diaba to your best na umshow akate Ju ya mwisho ni chorus Na ina shika-mzika design ya makete Ate, design ya makete kete Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, peke-jua, pekejeng(pekejeng) Pekejeng, pekejeng, pekejeng(pekejeng) Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Ghai, Ghai, Ghai.....Ghai Sailors Gang! Team ya mariet Niatia reu, kwena kii? Kira-i ta mwe mono eye..?