Raha
Saluh
3:36Mmmh ..!! Huyelee!! Hello! Bora Leo umepokea si nilikuahidi kwamba nitakuimbia achana na ile ngoma ya Sonia Nina Verse zako Leo nimekuandalia, Eh eeh.! hivi hujambo Malkia ona nilisahau mpaka kukusalimia tatizo lako huwaga mkali mi sitaki Shari nakusalimia tu. Mmh yaan kusema ukweli sijiwezi kimwili mpaka akili ukweli pesa sina ila Nina mapenzi yakweli sivuti bangi wala sio tapeli mama Kila nikijaribu kujiuliza ipi kasoro inayokukimbiza mbona mi ka sura ninako na kanapendeza mkaka fulani nature ya Uingereza Ewe njiwa Ewe njiwa peleka salamu ukiuliwa ukikataliwa jua ni ya wanadamu Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! Basi nikubalie Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! Usinikatalie Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! nikubalie Mummy eeeh Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! nisikie raha na mie Nitakuimbia reggae Fulani laini muziki Fulani wa kuongeza madini Pembeni nitakupigia violin Utaenjoy sana kudate na mimi Mmh mbona sio lazima watu wazima kutesana mapenzi ni kuelewana sio uhasama kukataliana Mi nakupenda sana ila unazidi kunichanganya kutwa kunipiga kalenda lini utanipenda mi nishachoka Bwana Mara kanidanganya eti yupo kwa foleni nami nshasubiri sana mama kamba hiyo!! Nishapiga simu nyingi ili aingie kingi ananichanganya mama Kamba hiyo.!! Kila nikijaribu kujiuliza ipi kasoro inayokukimbiza mbona mi kasura ninako na kanapendeza mkaka fulani nature ya Uingereza Ewe njiwa Ewe njia peleka salamu ukiuliwa ukikataliwa jua ni ya wanadamu Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! Basi nikubalie Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! Usinikatalie Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! nikubalie Mamie Uoo oh! Uoo oh! Uoo oh! nisikie raha na mie Oooh mama niskie raha na miee eeeh eeeh eeeh eeeh..!! Uoooh oo uooh oooh oo uooh oooh uooh niskie raha na miee Ieeeh niskie raha na miee mieee mieee Niskie raha na miee ieeh ieeh eeeh niskie raha na miee Mara kanidanganya eti yupo kwa foleni na mi nishasubiri sana mama..kamba hiyoo..