Mkata
Shaniah Bito
3:17mmmh Shaniah Bito wee Siamini kama wee ndo yule Uliosema hadi kiama Siamini kama wee ndo yule Ulionipa ahadi sana Siamini iiih umeyageuza Mawazo yako gafla Siamini iiih umeniumiza hata bila kuniwazia aah Nikama sio upendo unalo labda ni tamaa tamaa Ulichotaka ukapata Bila kusita ukasongaa Moyoni ukanitia donda Nisojua yake tiba Ila majaliwa majaliwa ntakuwa sawa Nenda nenda aah aah Wala sitaki kuona Nenda nenda aah aah Nakutakia mema Nenda nenda aah aah Nenda mbali sana Nenda nenda aah aah Usije ukanitonesha kidonda ulichonipa Eti kibahati mbaya unione popote Naomba unipuuzie mie unipuuzie mie Ama social media nikipost chochote Usilike au comment iiih Nahitaji muuda nafsi kutulia lia Nitulize ubongo kwa mawazo ulionipa Nahitaji muuda nafsi kutulia lia Nitulize ubongo kwa mawazo ulionipa Nivuke chapter chapter Mbele kuendelea lea Ila majaliwa majaliwa ntakuwa poa Nenda nenda aah aah Wala sitaki kuona Nenda nenda aah aah Nakutakia mema Nenda nenda aah aah Nenda mbali sana Nenda nenda aah aah Usije ukanitonesha kidonda ulichonipa K onde beat