Sip (Alcohol)
Joeboy
2:39Ni kama sijitambui sijielewi amenizaba na penzi lake Sijikumbuki mi mahututi amenifunga na nyororo Am so confused going crazy kiutanitani nishajipa Zumbukuku kichizi kimchezomchezo Nishazama (Hua najipata nakula na yeye ,nalala na yeye naamka na yeye yani mi ni wake Hua najipata nakula na yeye ,nalala na yeye naamka na yeye yani mi ni wake Siko soko tena nimenunuliwa Hunipati tena nimechukuliwa Siko soko tena nimenunuliwa Hunipati tena nimechukuliwa Is this love they call the love they sing abracadabra Am feeling loved again Am young again Sinaga baya Yani mimi ni wake na nishapendwa nimechukuliwa Moyoni mwake aah nimebebwa nimekubaliwa Mi ni wake na nishapendwa nimechukuliwa Moyoni mwake aah nimebebwa nimekubaliwa (Hua najipata nakula na yeye ,nalala na yeye naamka na yeye yani mi ni wake Hua najipata nakula na yeye ,nalala na yeye naamka na yeye yani mi ni wake