Uwe Nguzo
Christopher Mwahangila
5:43Wanadamu hawana Wema aaa! ndugu zangu hawana hurumaa,Wanadamuu hawana Wema na ndugu zaangu hawana hurumaa!! Nilipoijua Ile kweli nilipompokea Yesu kuwa mwokozi Wangu,wazazi waangu wakaja juu sana Na ndugu zaangu wakaja juu sana wakasema nimechanganyikiwa.