Badman Crazy
Metro Stunna
Piga changl'ii jicha zime waka Niko juu ya lean niko juu ya onkada Majicha wengi njiste wamekaba Niki piga scene najua ku ng'aada Niki piga scene najua ku ng'aada Piga changl'ii jicha zime waka Niko juu ya lean niko juu ya onkada Majicha wengi njiste wamekaba Niki piga scene najua ku ng'aada Niki piga scene najua ku ng'aada Kibro hayuko jina ndo ilibaki Lang'ata Bado me na mblein nasakanywa for murder Ukitaka jicha anyurie unakuja faster Mpaka stenje wana ng'am sisi ndo ma gangster Waezangi toa chengerere haraka Wanajua hapa ni mabuda Hapana leta disaster Na acha mic na disaster Siezi ubiri mi si pastor Una nisoma na mi si mbuku Narauka ngware na mi si kuku Ganji iko knocking kwa door step Safisha nika unapigwa mopping Stoko ikilandi rudi shopping Nipate kwa broker tomba teleshopping Unisa kila saa ni ka ni curse Shugli zingine pass Si ni ma G hatuezi kosa class Hauna content rudi class Una esabu time mi na esabu guap Stori za ganji sidai stori za nyap Kaa rada kwa wera usitake a nap Piga changl'ii jicha zime waka Niko juu ya lean niko juu ya onkada Majicha wengi njiste wamekaba Niki piga scene najua ku ng'aada Niki piga scene najua ku ng'aada Piga changl'ii jicha zime waka Niko juu ya lean niko juu ya onkada Majicha wengi njiste wamekaba Niki piga scene najua ku ng'aada Niki piga scene najua ku ng'aada Nimejikill joh nakaa ka horror Utabakishwa na machaji ukini ng'ora Kutoka ngware kwa mongo biz ya ganji ndio nachora Kaa sina doh nageuka mkora Siezi sare grind mpaka niingie kwa sand Siezi toka trap adi gunga ziland Warazi kuwa tokea off guard Niko mashugli naziskuma Jo mayard Nikiwa madawa me hupenda kumedi solo Me ni G juu chini nime dunga Polo Tunawa mislead hawa mafala wakitu follow Most wanted kila rima siezi medi na wasoro Ngware adi magiz na launch ma koro Asset ikinibamba me na chai siezi borrow Kodede na mapills na move vi slow-mo So high unaeza pata me niko YOLO Piga changl'ii jicha zime waka Niko juu ya lean niko juu ya onkada Majicha wengi njiste wamekaba Niki piga scene najua ku ng'aada