An Aheriga

An Aheriga

Tugo Lister

Альбом: An Aheriga
Длительность: 3:40
Год: 2025
Скачать MP3

Текст песни

Mmmmh mmmmmh  mmmmmmmh
Mmmmh mmmmmh  mmmmmmmh

Mama nyamaloooo, herani toyaa
Mama nyamalooo, penzi langu ni lako
Nyamaloooooo, cheza nami baikokoo
Nyamalooo, we ni wangu miwako

Anaheriga, mmmmh
Mpenzi anaheriga, mmmmh
Anaheriga, mmmmh
Mpenzi anaheriga, mmmmh

Usikufe moyo penzi limeanza kuchacha
Mpenzi nikiwa nawe nitapata baraka
Najua kuna wengi ila niwe, niweeewe
Niangalie nihurumie, roho imesema ni wewe

Anaheriga, mmmmh
Mpenzi anaheriga, mmmmh
Anaheriga, mmmmh
Mpenzi anaheriga, mmmmh

Na sasa nimekwama kwako, sitaki mwingine
Niko tayari kufunga ndoa na weweee
Tena niko radhi niwe wako milele
Penzi letu litafika kileleeeeee

Anaheriga, mmmmh
Mpenzi anaheriga, mmmmh
Anaheriga, mmmmh
Mpenzi anaheriga, mmmmh