Mana Kaka In No (Aheri)
Tugo Lister
3:44Mmmh Naaaaah Mmh Mama wewe ni wa kipekee Chanda chema huvishwa pete An aheri mtoto wa kike Kama si wewe hakuna mwingine An aheri Nyauyoma Kwa mapenzi sina noma Niliamua niwe wako Ukakubali kua wangu Niliamua kua nawe Ukakubali kua nami Penzi moto fire sana Mama wewe ni wa kipekee (wa kikeee) Chanda chema huvishwa pete (vishwa petee) An aheri mtoto wa kike (kikee) Kama si wewe hakuna mwingine We chezacheza ukijua ni wewe Kwa wazazi tutaenda tuolewe Hii maisha nitaishi na wewe Hatuchezi nataka waelewe Mama wewe ni wa kipekee (wa kikeee) Chanda chema huvishwa pete (vishwa petee) An aheri mtoto wa kike (kikee) Kama si wewe hakuna mwingine Jaherana bi mondo aheri Bi mondo aweri Jaherana bi mondo alombi Bi mondo alombi hiiii Bi mondo alombi forever Mama wewe ni wa kipekee (wa kikeee) Chanda chema huvishwa pete (vishwa petee) An aheri mtoto wa kike (kikee) Kama si wewe hakuna mwingine Jaherana bi mondo aheri Bi mondo aweri Jaherana bi mondo alombi Bi mondo alombi hiiii Bi mondo alombi forever Mama wewe ni wa kipekee Chanda chema huvishwa pete An aheri mtoto wa kike (kikee) Kama si wewe hakuna mwingine Mama wewe, mama wewe Mama wewe Mama wewe, mama wewe Mama wewe