Dunia
Ukweli
2:46Niwe vipi Nishatubu, nishasulubiwa Imebidi nihesabu subira Imezidi, najitolea najikwaa Oh niwe vipi Niwe mtupu, niwe bila Imebidi niwe mkavu kila kila Imezidi, najitolea najikwaa Hasira hasara Niwe mpole Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla Ya ni' na usipopigana Utajipata we nd’o una jeraha Hasira hasara Hasira ni silaha Tiki tiki bomu Mawingu radi na homu Na sina hata ngao Maisha ina maovu Mishale tu na makovu Ugomvi ndo makao Kusema ukweli Amani ilienda na meli Hasira hasara Niwe mpole, Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla Ya ni' na usipopigana Utajipata we nd’o una jeraha Hasira hasara Hasira ni silaha