Ni Sawa (Feat. Steph Kapela)
V-Be
3:23Hmmmmm, Gogo Ashley Vijana Barubaru na wewe, ya dada Kuna muda njoo tupoteze wakati, raha ukinilalia Siku inapita ikienda wapi, ka sijakupigia Ukinihitaji mi ntakosaje nafasi, sema ntakukujia I've been asking God for you, nilifunga nione muujiza Kufungua macho I saw you Down on your knees no wasting time Wazazi wajuane, family time Bouncing baby ndio next in line Meant to be it was set in time Love ka Hii, it's ahead of time Honeymoon high, the time of your life Promise we'll stand the test of time Sadly forever is not enough Nakupenda, kama nyama choma Soda baridi na kadoughnut Nikiwa nawe me hunona, My sukari Nakupenda, kama nyama choma Soda baridi na kadoughnut Nikiwa nawe me hupona, Dakitari Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera, Ni wera kuunda family Tuanze wera tuunde family Down the aisle with you, Come home to you Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera, Ni wera kuunda family Tuanze wera tuunde family Down the aisle with you, Come home to you Kama kukupenda dhambi My soul is a dark night Tuleave a permanent mark Endless blood line Love at first sight Sacred soul tie Talk to me with your eyes Nitajua kenye unadai Nmekuona ukiwa thirsty, hungry, nasty Kukutunza kazi yangu kirasmi Nakujengea makao, kabla nipate mazao, Jipange na hio thao Huyu ni wa nani, huyu ni wangu Ye hutuma ndanganye maboyz siko kwangu One plus one hesabu za kutoroka mataabu Nimjazie kikapu, napenda vile Nakupenda, kama nyama choma Soda baridi na kadoughnut Nikiwa nawe me hunona, My sukari Nakupenda, kama nyama choma Soda baridi na kadoughnut Nikiwa nawe me hupona, Dakitari Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera, Ni wera kuunda family Tuanze wera tuunde family Down the aisle with you, Come home to you Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera, Ni wera kuunda family Tuanze wera tuunde family Down the aisle with you, Come home to you Uuuh uh uh uh uh Nikiwa nawe mi hunona Nikiwa nawe mi hupona Down the aisle with you, Come home to you