Romantic Call

Romantic Call

V-Be

Альбом: Romantic Call
Длительность: 3:51
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

I'm on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I'm on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe

I'm on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I'm on a romantic call
Better option ni wewe

Leo nimebuy bamba, let mamako tuongee
Tulikosna tangu masikio nitoboe
Hii number ni ya msee wa movie hapa baze
Usireply hata akikutext

Uliwacha kubonda
Tangu kuku zenyu ziende missing
Mliacha kushuku ule mkisii
Kuna ukame, na I hope babako aliunda fence
Naogopa sana ukuliwe na fisi

I'm on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I'm on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe

I'm on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I'm on a romantic call
Better option ni wewe

Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke

Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke

Naeza grow some balls nipigane juu yako
Nibonge na God nimuitishe bei yako
Nilale chini unikalie kichapo
Nibonge na gang ndio tufike ruracio

Pia nadai tuwatese Nairobi hadi Dar
Couple goals tumatch outfits za Adidas
Kubali nikushike nikukunjie kwa cab
Shukuru ex wako I'm glad alikudump
My gold unaglitter fashion killer
Grass is greener when the thighs are thicker
Napicture hio tumbo ikiget bigger
Nataka ka boy unadai kakuwe na sister?

Two hours on a video call na we
Mi hufeel like a minute, we can do this all night
Ukigo low kuna low siezi break
Uko lonely,Imma cruise to your end

I'm on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I'm on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe

I'm on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I'm on a romantic call
Better option ni wewe

Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke

Natafuta makaa, nishapata jiko
Kama cheating ni drugs niko detox
Mfu unanipa uhai kuna symptoms
Safisha signal

Naeza grow some balls nipigane juu yako
Nibonge na God nimuitishe bei yako
Nilale chini unikalie kichapo
Nibonge na gang ndio tufike ruracio

I'm on a romantic call
Baby panda mti kama network ni blunder
I'm on a romantic call
Better option ni wewe, saf waelewe

I'm on a romantic call
Nimekunokia na Tecno ku hung up apana
I'm on a romantic call
Better option ni wewe

Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke
Kielewe, ke, kielewekeke
Lazima nikuwekeke ke