Romantic Call
V-Be
3:51Washajua wazazi, Pacha wangu Mimi mwili Wewe nafsi Furaha yangu hata tusombwe na simanzi Mapenzi upofu ntakufuata hadi gizani Uuuuje, ushanichagua ruhusu nikutunze Jinsi ya kukupenda nijifunze Hadi uzeeni penzi tulikuze Hio naeza guarantee Kesho yetu usifananishe na Jana Lami na reli hazitoshani upana Uchumi mbaya but I'll spend my todays with you Leo ikona guarantee Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana You are my rose but I'll still give you your flowers Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana You are my rose but I'll still give you your flowers Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi Soon ntakusave na love emoji nitoe official name PDA bila uwoga juu licence ni Pete I'll buy some boxers you can share with me Uwache kuvisit uishi na me Kifunguu nkutolee copy usizubae kwa gate Vitunguu tutoane ngozi uchi ujionyeshe Si valentines nikueke archives pale Kwa TV Lazma uolewe and it must be me Kesho yetu usifananishe na Jana Lami na reli hazitoshani upana Uchumi mbaya but I'll spend my todays with you Leo ikona guarantee Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana You are my rose but I'll still give you your flowers Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana You are my rose but I'll still give you your flowers Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi Sipendi your favorite artist but nakupenda nta compromise Klabu date ya smocha, humind burger sifiki price Kuona movie Kwa lapi ni intimate, hatuwezi shikana kwa theatre Nikwandalie candle lit dinner, tokens kidogo vile meter inateta Kuna tisho flani nimebuy baggy, si tuone vile itakuvaa Ati games Gani, hapa labda kadi, I'll never play with your heart Twende house hunting tupange nyumba bila intentions za kuikaa Naeza kopa gari twende nayo nanyuki but hio ni trip ya njaa Ugumu wa mkate huishia kwa chai, twende kibanda Yetu ni simu Iko Kwa moto charge inaenda ikipanda Buroti maguta maguta you are my fertile kiwanja ukipotea ntakutafuta I'm one half you are the other