Niko Sawa
We Are Nubia
3:03Verse 1 : Nitaita umati na wanahabari Tuchapishwe hadi kwenye magazeti Wajue ni ye ye ye ye nimependa Kijana mtanashati Haongozwi na hamaki Ashakubalika huku kwetu kwa wazazi Washajua ni ye ye ye ye Nimependa Pre- chorus: Akona ujuzi anachonipa sitosheki najipata narudi (Ninamwandalia nampakulia ) Kwake Sina budi bali kumpenda bila budi nimetosheka (Bali nimependa nimependa) Chorus: Mimi nikipenda nimependa Nampatia mapenzi ya sinema Nimo na uhuru ndani ya gereza Tupendane hadi kwa jeneza Iyo iyo iyo iyo yo Iyo iyo iyo iyo yo Iyo iyo iyo iyo yo Verse 2: Kwa ukurasa wa pili ni ye ananimiliki Siwezi ngoja firimbi nimuonyeshe jinsi ninavyompenda Januari to Disemba Hadi mwisho wa kalenda Nionyeshe njia nijue zako nia Tutaenda hadi Ng'iyaaaaaa Pre- chorus: Akona ujuzi anachonipa sitosheki najipata narudi (Ninamwandalia nampakulia ) Kwake Sina budi bali kumpenda bila budi nimetosheka (Bali nimependa nimependa) Chorus: Mimi nikipenda nimependa Nampatia mapenzi ya sinema Nimo na uhuru ndani ya gereza Tupendane hadi kwa jeneza Iyo iyo iyo iyo yo Iyo iyo iyo iyo yo Iyo iyo iyo iyo yo