Atafanya Kitu
Zabron Singers
3:45Imenigharimu sana mimi kuwa hapa Acha Mungu awe Mungu Tangu kuzaliwa kwangu ujana uzee Acha wahimili acha Kwenye giza kaniwekea nuru Nisihangaike Kwenye shida hutengeneza njia Watu wake tunapita Nimekuja kugundua umbali umenileta Acha Mungu nikusifu Ju sina Mungu mwingine Wakunitendea haya hakika wanikumbuka Hivi nilivyo ni Mungu ni yeye kaniwezesha Ni Mungu mwenye uweza Nitaendelea kuvuka popote niko na Mungu Ni Mungu yuko na mimi Ni mengi nimepitia baada ya kufika hapa Wadhani Mungu ni nani? Tena mengi akanivusha, na baraka zikapanda Wadhani Mungu ni nani? Ni nani? Ni nani Yeye ni nani? Tena kwani Mungu ni Nani Mungu ni Nani? Kuzihesabu tu siku Ni nguvu za Mungu ndio maana niko hai Sikumpa chochote Wakati wa Mungu unapofika umemfika Nilipokuita hukusita, ulisema nami Ninakushukuru umenipa maisha mazuri Nimekuja kugundua umbali umenileta Acha Mungu nikusifu Ju sina Mungu mwingine Wakunitendea haya hakika wanikumbuka Hivi nilivyo ni Mungu ni yeye kaniwezesha Ni Mungu mwenye uweza Nitaendelea kuvuka popote niko na Mungu Ni Mungu yuko na mimi Ni mengi nimepitia baada ya kufika hapa Wadhani Mungu ni nani? Tena mengi akanivusha, na baraka zikapanda Wadhani Mungu ni nani? Hivi nilivyo ni Mungu ni yeye kaniwezesha Ni Mungu mwenye uweza Nitaendelea kuvuka popote niko na Mungu Ni Mungu yuko na mimi Ni mengi nimepitia baada ya kufika hapa Wadhani Mungu ni nani? Tena mengi akanivusha, na baraka zikapanda Wadhani Mungu ni nani? Utabaki kuwa Mungu