Asanteni Kwa Kuja
Zabron Singers
4:38Niko sawa na yesu wangu niko sawa siteseki sikondeani niko sawa Kwani vipi si waona niko sawa nafurahi na yesu wangu niko sawa Majira yote niko sawa akiwa nami niko sawa nimechagua kuwa kwa Mungu acha niimbe niko sawa. Upendo wake Yesu ni mkuu mkubwa na kuzidi Kumbe huyu yesu ni Zaidi ni Zaidi maishani kaniweka sawa (Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa (niko happy) niko sawa hee niko sawa (Si unaona) niko sawa na yesu (tena) niko sawa (nafurahi) amejibu maombi hee niko sawa (Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa (niko happy) niko sawa hee niko sawa (Si unaona) niko sawa na yesu (tena) niko sawa (nafurahi) ametenda tena hee niko sawa Kwa magonjwa yupo yupo nami Yesu huniponya mawazo hunifariji Kuna mengi kwake nimeona makuu nikaona hakika kanitendea. Hata mi nimemchagua yeye niko sawa na yesu niko sawa na Yesu wangu, Iwe kiu ye maji ya uzima akinigusa napona niko sawa na yesu wangu. Huyu yesu ni rafiki wa milele wa upendo yuko sawa, Nafurahi nampenda anipenda ndio maana niko sawa. (Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa (niko happy) niko sawa hee niko sawa (Si unaona) niko sawa na yesu (tena) niko sawa (nafurahi) amejibu maombi hee niko sawa (Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa (niko happy) niko sawa hee niko sawa (Si unaona) niko sawa na yesu (tena) niko sawa (nafurahi) ametenda tena hee niko sawa.