Sisi Ndio Wale

Sisi Ndio Wale

Zabron Singers

Альбом: Sisi Ndio Wale
Длительность: 4:24
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

sisi ndio wale watoto wa Mungu
ukitugusa utapigwa na Mungu,
hata tulipo katuweka Mungu,
ni mboni ya jicho lake huyu Mungu

sisi ndio wale twapendwa na Mungu,
ukitugusa utapigwa na Mungu,
chini juu katu leta Mungu,
sio mchezo kupendwa na huyu Mungu.

Mungu ni mmoja hii Dunia,nampenda namwamini
namzungumzia Mungu mmoja yule wa upendo,
kwa pamoja twasifu jina lake.
Ndiye yesu mwenye jina kuu,heshima mamlaka vi mabegani mwake,
kwa uweza na nguvu mtawala wa vyote ndo maana twamsifu.

Hapa tulipo katuweka Mungu,
tusingefika hapa bila yeye,
nani wa kupinga Mungu akipanga,
hakuna mwingne kama huyu Mungu wetu.

Eeeh tunasema ...
eeeeh eeeeh ...
Twapendwa ...
eeeeh eeeh ...
Na yesu ...
eeeeh eeeh ...
Ndo maana twamsifu ...

sisi ndio wale watoto wa Mungu
ukitugusa utapigwa na Mungu,
hata tulipo katuweka Mungu,
ni mboni ya jicho lake huyu Mungu.

sisi ndio wale twapendwa na Mungu,
ukitugusa utapigwa na Mungu,
chini juu katuleta Mungu,
sio mchezo kupendwa na Mungu.

Iwe ni shida na mgonjwa, ukiuma moyo hutibu
hata siwezi mazuri ya huyu yesu,
tulindwa tunapendwa tunafurahi anatupenda ni mzuri huyu yesu.

hakuna mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakuna mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakuna mungu kama wewe
eeeeh eeeh ..
hakua mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakua mungu kama wewe
Eeeeh eeeh ...
Ndio maana twakusifu ...
hakuna mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakuna mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakuna mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakua mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
hakua mungu kama wewe
eeeeh eeeh ...
Ndio maana twakusifu ...

sisi ndio wale watoto wa Mungu
ukitugusa utapigwa na Mungu,
hata tulipo katuweka Mungu,
ni mboni ya jicho lake huyu Mungu.

sisi ndio wale twapendwa na Mungu,
ukitugusa utapigwa na Mungu,
chini juu katuleta Mungu,
sio mchezo kupendwa na Mungu.