Hatari (Feat. Jay Melody)

Hatari (Feat. Jay Melody)

Alikiba

Альбом: Starter
Длительность: 3:32
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Yeah!
Yeah
Je t'aime
Jini X66

Umeni-corruptisha nilikuwa na mapressure tu
Alinidhalilisha, alinicha hadharani, hadharani
Ningeaga maisha nilishafika kikomo
Ukanikarikibisha, kabisa ukani-udaptisha
Umenipendezesha ukaning'arisha
Kuachana na yule mbwa wa mwanzoni, alienikondesha
Uso uliojawa na vishimo
Nikapoteza mwonekano
Nikaonekana ka' kituko
Kumbe yaliomo yamo, oh, na bado, na bado

Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho
Taratibu mama, tunamumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho

Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi

Oh-woah, oh
Oh-woah, oh
Wananiita, Jay
Jay Once Again
Another day, mimi nae
Tuko nyumbani tunakula chapati na visupu
Usiombe akiniita honey tunaanza vurugu usumbufu
Maumivu sijuagi ye' ndo anaenipa furaha, aah
Na wala siteseki, niko angani juu napaa

Acheni penzi letu listawi
Hamjui aliponishika
Hata kama akienda mbali kumfata hio nitalazimika
Huu moto

Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho
Taratibu mama, tunamumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho

Hatari, (wueh!), hatari, hatari, hatari mpenzi (ulala)
Hatari (ule) hatari (ooh, yo) hatari (ooh, yeah), hatari mpenzi (hatari)
Hatari (hatari), hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi

Oh, no-no-no, ooh
Oh, no-no-no-no, uuh-ah
Music