Bembeleza
Marlaw
Nimekuwa na wapenzi walionisaliti Nikawa na marafiki wanafiki Nimeishi na ndugu ambao hawapendi Kuona nikipata Bora Peke yangu Bora Peke yangu Bora Peke yangu Bora Peke yangu uuh Uuh ( VERSE) Wengi tuliwaacha tukiwa bado tunawapenda Ili kuruhusu waende huko wanapokwenda Na sio kama tunapenda Visa na usafiri Mpaka moyo uka surrender Na dedicate moyo kwenye hustle Mama ananiombea na mungu ananiona Wanapolala sisi tuko macho Haya mateso iko siku yatakoma Sina Chuki Sina Wivu no Nimeshajichunguza Tatizo napenda sana Najali sana Napunguza Oooh