Yanitosha (Live)
Israel Mbonyi
13:22Nita Amini Verse : Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya, Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu Chorus : Naelewa maji na moto nitapita Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe sitaogopa kamwe Mungu wangu wanishika mkono Wautuliza moyo wangu, Si na mashaka wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yoote Bado nitaamini Verse : Si Mara y’a kwanza wanitowa katika magumu Ni na ushuhuda zaidi ya moja We ni mwaminifu Ni na historia maalum We ni chemchemi ya uzima. Outro : Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini Hata usiniponye bado nitaamini Ukinijibu nitaamini Hata usinijibu bado nitaamini Ukibadilisha nitaamini Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu