Sugar
Jay Melody
3:20Kama ni mapenzi yaniuwe basi yaniue Huu mzigo basi niutue Kama siyajui nipeleke shule baby Kwengine sioni penzi lako lanipa upofu we Kwa mikono yako nichukue Kwenye makorongo usinitue baby Me nishajigamba sana kwa masela majita We ndo changu kipenzi nishawaambia We ndo changu kipenzi Sa usije kunichanganya mwenzako nitakwisha Si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi Mimi mimi Watu nitawambia nini watu x3 Mimi Watu Nitawambia nini watu x Mimi Bila we mi nitaukosa uhai Bila we life halita noga Ni raha tu vile unanikosha Utaniambia nini kuhusu mapenzi Kwako nimegota nikikuona ka nimeona nyota Kwa penzi lako chozi la nidondoka Basi usiniweke roho juu Me nishajigamba sana kwa masela majita We ndo changu kipenzi nishawaambia We ndo changu kipenzi Sa usije kunichanganya mwenzako nitakwisha Si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi Mimi mimi Watu nitawambia nini watu x3 Mimi Watu Nitawambia nini watu x Mimi"