Nakupenda

Nakupenda

Rayvanny

Альбом: Flowers Iii
Длительность: 3:01
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

A girl I want you to know that
You are my everything my only one
A girl I want you to know that
Ni kugombana na baby no
Kununiana na baby no
Mambo ya kupigana na baby no
Ati niachane na baby noo

Sikujua
Aaah
Nitapenda hivi
Akiniacha
Aaah
Mi nakuwa chizi
Baby turn around I wanna see your back
Thick heavy heavy alafu tumbo flat
Ukimwaga maji nipate bomat
Play some music ghetto kuna party

Nakupenda
We meant to be together
Nakupenda
Nakupenda
Me and you forever
Nakupenda wewe

Ooh girl I want you to know that
Uzuri wako hauna mfano
Sexy body like a chopper
Ngozi mwanana
Chuchu sindano
Ona Mungu kaumba toto special
Sio mtumba
Yeye ndio mama mwenye nyumba
Wasompenda wamechunda

Sikujua
Aaah
Nitapenda hivi
Akiniacha
Aaah
Mi nakuwa chizi
Baby turn around I wanna see your back
Thick heavy heavy alafu tumbo flat
Ukimwaga maji nipate bomat
Play some music ghetto kuna party

Nakupenda
We meant to be together
Nakupenda
Nakupenda
Me and you forever
Nakupenda wewe