Siko Soko
Adasa
3:05Mmmmhhhh ieyee yeeye emmy dee made it mmhhh walisema hautaisha mwakaa ntapotea ntachakaa Wakasema Eti Sina maana tenaaaa Wengine waliungana pamojaa aaaah wakanichamba Wakisema eti sina nyotaaaaa tenaaaa aaah mmmhhh Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito uoo Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito La Mwisho Lake ni Mimchaguliwa Mimchaguliwa Na nimebarikiwa La Mwisho Lake ni Mimchaguliwa Mimchaguliwa Na nimebarikiwa mhmmm mmm uhmmm Nahisi kama Nyota yang'aaa teeeeena Teeeena inapendeza sanaaa inameremeeta eeeeh! Na imeandikwa amebarikiwa mtu yule mteule anayemtegema tu yeye" mteule mtu yule anayemtegemea tu yeye mhmmm mmm Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito oooh Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito La Mwisho Lake ni Mimchaguliwa Mimchaguliwa Na nimebarikiwa La Mwisho Lake nii Mimchaguliwa Mimchaguliwa Na nimebarikiwa Lamwisho lake nii Talk to Him chila siku To Him believe in him ye Mulungu in Him Talk to Him chila siku To Him believe in him ye Mulungu in Him aaawh aeeh aeeeeh aeeh aeeeeh La Mwisho Lake ni mi Mchaguliwa mi mchaguliwa na nimebarikiwa La Mwisho Lake niiiiiii mchaguliwa mi mchaguliii mchagu mchaguliwa aeeh aeeeeh emmy dee